(Swahili Version) Sign On Petition: Stop The Eviction Of Indigenous Pastoralist Communities In Ngorongoro Conservation Area

2 logos


Rufaa kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kuzuia kufukuzwa kwa jamii za wafugaji asilia katika Hifadhi ya Ngorongoro

Sasisha juu ya Kampeni

Kwa:

Mheshimiwa, Samia Suluhu Hassan
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Nakala kwa:

Mhe. Dk Freddy Safiel Manongi
Kamishna wa Hifadhi, Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro

Mhe. Dkt Damas Daniel Ndumbaro
Waziri wa Maliasili na Utalii

Mhe. Tirso Dos Santos
Mkuu wa Ofisi, Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la UN – Tanzania

Mhe. Dk. Bruno Oberle
Mkurugenzi Mkuu, Umoja wa Kimataifa wa Uhifadhi wa Asili

Mhe. Audrey Azoulay
Mkurugenzi Mkuu, Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la UN

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inapanga kuwaondoa  wenyeji 73,000 kutoka eneo la  Mamlaka  ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCA). Mnamo Aprili 12, 2021, Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCA) tayari ilikuwa imeshatoa ilani ya siku 30 ya kuwaondoa wafugaji wa asili 45 wanaoishi katika Hifadhi ya Ngorongoro. NCAA inawaona kama wahamiaji haramu. Tamko lao linadai kwamba Watu wa Asili na maisha yao ya ufugaji yanahatarisha uwiano wa kiikolojia wa Eneo la  Mamlaka ya Hifadhi la Ngorongoro lilisambazwa zaidi na vyombo vya habari vyenye upendeleo kwa uhifadhi”[1]

Tafiti za kitaalamu zimethibitisha kuwa ufugaji wa asili hauna athari kwa uhifadhi.[2] Sehemu  zilizobaki  zinazoshikilia mimea na wanyama waliobaki wa Tanzania hupatikana katika ardhi za wafugaji au katika maeneo yanayokaliwa na wafugaji.[3] “Mtazamo wa wahifadhi kwa wafugaji katika  dhana yenyewe ya uhifadhi asilia. Wahifadhi wamejisahau kwamba uhifadhi ulivyo sasa  umejengwa katika dhana ya uhifadhi  wa kitamaduni wenyeji wafugaji asilia na njia zao za kudhibiti rasilimali muhimu.”[4]

NCAA na Wizara ya Maliasili na Utalii (MNRT) wanaendelea kushikilia fikra za kikiritimba na za wakoloni. Wanapuuza tafiti za hivi karibuni za kisayansi ambazo zinaonyesha na kudhibitisha jukumu muhimu la jamii za wafugaji asilia katika uhifadhi. Taasisi hizi za  serikali zinatupilia mbali umuhimu wa kufanya mashauriano ya dhati na wafugaji asilia katika kushughulikia upotezaji wa bioanuai. NCAA na MNRT wanapuuza jukumu lao la kulinda Hifadhi ya Ngorongoro na wanajali tu kupata faida kutoka kwa utalii.

NCAA na MNRT wamekua wahusika wakubwa wa ukiukwaji kadhaa wa haki za binadamu dhidi ya jamii za wafugaji asilia, ambazo ni pamoja na kubomolewa kwa nyumba zao na vitisho dhidi ya maisha yao na mali zao. Amri ya kufukuzwa ya watu hivi karibuni, ingawa imesimamishwa kwa sasa, inatishia kuendelea na ukiukwaji huu, pamoja na uharibifu wa vituo na miundombinu  vilivyojengwa na serikali kama shule, vituo vya afya, vituo vya polisi, makanisa na misikiti.

Kwa kuongezea, usalama wa watetezi asilia wa haki za binadamu, pamoja na asasi za kiraia zinazowaunga mkono na jamii zilizoathirika ziko katika hatari.

Vitisho na mashambulio ya NCAA na MNRT kwa jamii za wafugaji asilia na njia yao ya maisha zinapingana na  matamanio ya Mheshimiwa, Rais Samia Suluhu Hassan, kuchukua hatua za kuhifadhi ikolojia na wanyamapori wa Eneo la Hifadhi ya Ngorongoro.

Kwa kuzingatia ongezeko la  ukiukaji wa haki za binadamu dhidi ya jamii za wafugaji asilia katika Hifadhi ya Ngorongoro, tunasimama katika mshikamano nao na tunaunga mkono kikamilifu madai yao halali ya kuheshimiwa na kulindwa kwa haki zao na ustawi wa jamii hizi. Tunaungana nao kutoa wito wa haraka kwa  Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kufanya yafuatayo:

  • Kubatilisha agizo la kufukuzwa kwa kuwaondoa wananchi uliotolewa na Wizara ya Mali Asili na Utalii  na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA), na kuhakikisha heshima na ulinzi wa haki za jamii za wafugaji asilia za kuishi, za maisha na uadilifu wa kitamaduni zinatekelezwa;
  • Kutambua kwa kikamilifu na kuunga mkono maisha endelevu ya jamii za wafugaji na mifumo  yao ya uhifadhi na usimamizi wa rasilimali;
  • Shughulikia  njaa ya jamii za wafugaji wa asili kwa kuondoa marufuku ya kilimo katika vijiji ishirini na tano na vizuizi vilivyowekwa kuzuia  wafugaji  na mifugo kupata malisho na maji katika eneo la uhifadhi;
  • Kuunda  kamati huru kuchunguza dhuluma na ukiukaji wa haki za binadamu  ulioendelea kwa  miongo kadhaa  ambao umekua ukifanywa na Wizara ya Maliasili na Utalii na Mamlaka ya Hifadhi Ngorongoro dhidi ya jamii za wafugaji asilia; na
  • Kuanzisha tume ya wadau mbalimbali itakayoundwa na wawakilishi  waliochaguliwa/pendekezwa na kukubaliwa na jamii kutoka jamii za wafugaji, wanaikolojia,  wataalam wa wanyamapori, na watetezi wa haki za binadamu  ambao watafuatilia suala hili kwa  njia inayotegemea haki za kusimamia na kuhifadhi eneo la Hifadhi ya Ngorongoro.

Tunapenda pia kuwataarifu Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) na Jumuiya ya Kimataifa ya Uhifadhi wa Asili (IUCN) kama washirika wa serikali ya Tanzania katika usimamizi wa Eneo la Mamlaka ya Hifadhi la Ngorongoro, juu ya dhulma  ya kufukuzwa kwa jamii za wafugaji wa asili katika eneo hili.  Uondoaji huu unapingana waziwazi na  sera na misingi ya UNESCO na IUCN katika kuheshimu haki za watu wa asili.


Ombi hili limefungwa.
Kulikuwa na idhini kutoka kwa mashirika 124 na watu 229 kutoka nchi 51.
Mnamo tarehe 12 Mei 2021, IPRI ilituma rufaa hii kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Unaweza kusoma barua hapa.


Saini*

Mashirika
  1. AbibiNsroma Foundation
  2. Afrikagrupperna
  3. Agencia Internacional de Prensa Indígena (AIPIN)
  4. Agenda Ciudadana por el Desarrollo y la Corresponsabilidad Social AC
  5. Alliance Nationale d’Appui et de Promotion des Aires et Territoires du Patrimoine Autochtone et Communautaire (ANAPAC)
  6. Almáciga
  7. Arctic Indigenous Wellness Foundation (AIWF)
  8. Asia Indigenous Peoples Network on Extractive Industries and Energy (AIPNEE)
  9. Asia Indigenous Peoples Pact (AIPP)
  10. Asociacion para el Desarrollo Integral de las Victimas de la Violencia en las Verpaces, Maya Achi (ADIVIMA)
  11. Asociación Ambiente y Sociedad
  12. Asociación Brasileira Maloka
  13. Asociación Teatro de la Tierra
  14. Association for Taiwan Indigenous Peoples Policies
  15. Bangladesh Indigenous Peoples Forum (BIPF)
  16. Bangladesh Indigenous Women’s Network (BIWN)
  17. Bethel Lutheran
  18. CENSAT AGUA VIVA
  19. Center for Environmental Concerns – Philippines inc.
  20. Center for Indigenous Peoples’ Research and Development (CIPRED)
  21. Center for Research and Development in Drylands, Kenya
  22. Center for support of indigenous peoples of the North (CSIPN)
  23. Centre for Research and Advocacy Manipur (CRAM)
  24. Centre of Research and Development in Upland Areas (CERDA)
  25. Centro de promoción y defensa de los derechos indígenas Yanapanakuy
  26. Centro para la Autonomía y Desarrollo de los Pueblos Indígenas (CADPI)
  27. Civic and Legal Aid Organization (CILAO)
  28. Colectivo Yehcoa Um
  29. Columbia University, Indigenous Peoples Rights Program, Institute for the Study of Human Rights
  30. Community Development Association (CDA)
  31. Community Empowerment and Social Justice Network (CEMSOJ)
  32. COMPPART Foundation for Justice and Peacebuilding
  33. Comunidad La Toglla, Pueblo Kitu Kara
  34. Conselho Indigenista Missionário, Cimi
  35. CONSULTORIA TECNICA COMUNITARIA, A.C. (CONTEC)
  36. Coopérative des Paysans de Lonzo
  37. Coordinator of Indigenous Organizations of the Amazon River Basin (COICA)
  38. Cordillera Peoples Alliance (CPA)
  39. CSWO
  40. Cultural and Development Society
  41. Development Alternatives
  42. Docip Foundation
  43. DYNAMIQUE DES GROUPES DES PEUPLES AUTOCHTONES (DGPA)
  44. EJAtlas
  45. El Pueblo Indígena Bubi de la Isla de Bioko
  46. Environmental Defender Law Center
  47. Extinction Rebellion Youth Solidarity
  48. Federación Indígena Empresarial y Comunidades Locales de México, A. C. (CIELO)
  49. Federation of Indigenous Kirat Associations (FIKA)
  50. First Peoples Worldwide
  51. Force Weavers
  52. Forest and Peoples Organization
  53. Forest Peoples Programme (FPP)
  54. Forest Stewardship Council
  55. Foro Indígena Abya Yala (FIAY)
  56. Fotosyntesis
  57. Frente de resistencia indígena
  58. Global Anti-Aerotropolis Movement (GAAM)
  59. Global Forest Coalition (GFC)
  60. Green Development Advocates (GDA)
  61. Haki Nawiri Afrika
  62. Human Rights Law Network (HRLN)
  63. India Indigenous Peoples
  64. Indigenous Environmental Network (IEN)
  65. Indigenous Peoples Forum Odisha (IPFO)
  66. Indigenous Peoples Global Forum for Sustainable Development (IPGFforSD)
  67. Indigenous Women India Network (I WIN)
  68. Indigenous Women League Nepal (IWL Nepal)
  69. Indigenous Women Legal Awareness Group (INWOLAG)
  70. InsightShare
  71. Institute for Ecology and Action Anthropology (INFOE)
  72. Instituto Orco Huasi. Investigaciones Interculturales – Salta, Argentina
  73. International Accountability Project (IAP)
  74. International Committee for the Indigenous Peoples of the Americas (Incomindios)
  75. International Indigenous Fund for development and solidarity (Batani)
  76. International Indigenous Women’s Forum (IIWF)
  77. International Women’s Rights Action Watch Asia Pacific (IWRAW)
  78. International Work Group for Indigenous Affairs (IWGIA)
  79. Interwaste Research Development (East Africa) Trust
  80. Jatiya Adivasi Parishad, Bangladesh
  81. Kalpavriksh
  82. Kapaeeng Foundation
  83. KENYA HUMAN RIGHTS COMMISSION
  84. Kenyan Peasants League
  85. KJBS
  86. Land is Life
  87. Lawyers’ Association for Human Rights of Nepalese Indigenous Peoples (LAHURNIP)
  88. Lelewal Foundation
  89. Lok Shakti Abhiyan
  90. Maleya Foundation
  91. Manipur Nature Society
  92. Marta López
  93. MICOP-CBO Kenya
  94. Mountain Indigenous Knowledge Centre
  95. MOVIMIENTO WIPHALA España
  96. Naga Peoples Movement for Human Rights (NPMHR)
  97. Narasha Community Development Group (NCDG)
  98. National Garifuna Council (NGC)
  99. National Indigenous Disabled Women Association Nepal (NIDWAN)
  100. National Indigenous Women Forum (NIWF)
  101. Neteve
  102. Nimotanzania
  103. Onamiap
  104. Paloma Delgado
  105. Pasah Kahanjak Foundation
  106. Pastoralists Integratef Concerns (PICO)
  107. PEREMPUAN AMAN
  108. Programme Intégré pour le Développement du Peuple Pygmé (PIDP)
  109. Reseau des Populations Autochtones et Locales pour la gestion durable des Ecosystèmes forestiers d’afrique centrale (REPALEAC Afrique centrale)
  110. Resguardo de Origen Colonial Cañamomo Lomaprieta
  111. Rights and Resources Initiative
  112. Saku Accountability Forum (SAF)
  113. Sandiwa Network of Advocates for National Minority Rights
  114. SONIA FOR A JUST NEW WORLD
  115. Southern Global Cartography Collective
  116. Tanzania Land Alliance (TALA)
  117. The Common Good Foundation
  118. The New Dawn Pacesetter
  119. Therapy in Motion Ltd
  120. Tribalzone Network
  121. Urgewald
  122. Watu Pori
  123. Women Working Group (WWG)
  124. Wumweri Ghodu CBO
Watu binafsi**
    1. Abraham – Kenya
    2. Adriane Costa Da Silva – Brazil
    3. Agustin Depetris – Sweden
    4. Alaidedia Morijei – Tanzania
    5. Albane Gaudissart – Canada
    6. Alejandra Orozco – Canada
    7. Alejandro Fernandez – United Kingdom
    8. Alex Shani – Kenya
    9. Alexandra Tomaselli – Italy
    10. Aline Chaves Rabelo – Brazil
    11. Amanda Shakespeare – United Kingdom
    12. Amani I. Laizer – Tanzania
    13. Amira Armenta – Netherlands
    14. Amitav Ghosh – United States
    15. Andrew Castillo – Belize
    16. Anne Mosley – United Kingdom
    17. Ariell Ahearn-ligham – United Kingdom
    18. Arkada Mollel – Tanzania
    19. Arnim Scheidel – Spain
    20. Arwa Hleihel – Austria
    21. Augusta M Molnar – United States
    22. Bailey Smith-Helman – United States
    23. Baraka Mollel – Tanzania
    24. Barbara Hermanns – Germany
    25. Batromayo James Sonyo – Tanzania
    26. Benjamin Lenaseiyanl – Kenya
    27. Benoît De L’estoile – France
    28. Bernice See – Philippines
    29. Bivuti Bhuson Mahato – Bangladesh
    30. Callie Berman – United Kingdom
    31. Cathbert Tomitho – Tanzania
    32. Cathy Vetter – United States
    33. Charles Ole-sein – Kenya
    34. Chris Fry – United Kingdom
    35. Cidi Otieno – Kenya
    36. Citlalli Hernández Saad – Mexico
    37. Conduct Hang – United States
    38. Connor Newson – United Kingdom
    39. Daale Simon James – Uganda
    40. Daniel Koitatoi – Kenya
    41. Daniella Vanêssa Abrantes Martins – Brazil
    42. Daudi Ndorosi Naata – Tanzania
    43. David Berger – Denmark
    44. David Smartknight – United Kingdom
    45. Denise Musni – Philippines
    46. Denize Marta – Brazil
    47. Diogo Liberano – Brazil
    48. Dionne Moseley – United Kingdom
    49. Dr Laura J Brown – United Kingdom
    50. Dr P A Azeez – India
    51. Dr Shoa Asfaha – United Kingdom
    52. Dr. Anabel Benjamin Bara – India
    53. Dr. Carla S Handley –
    54. Dr. Judith Dellheim – Germany
    55. Dr.susan Miranda Arnott – United Kingdom
    56. Elaine Hsiao – United States/Taiwan
    57. Elias Kimaiyo – Kenya
    58. Elisabeth Steffens – Germany
    59. Ella Scarleth T. Bugarso – Philippines
    60. Emma Rumney – United Kingdom
    61. Emmanuel – Kenya
    62. Emmanuel – Uganda
    63. Emmanuel Kileli Leyani – Tanzania
    64. Endoo Dorcas Chepkemei – Kenya
    65. Eric Boyd – Sweden
    66. Ewan Robinson – United States
    67. Federico Lenzerini – Italy
    68. Flora Bachmann – Austria
    69. Frances Labrick – United Kingdom
    70. Georgia Tendall – United Kingdom
    71. Gerd Lende – Norway
    72. Goor – United States
    73. Grace Balawag – Philippines
    74. Grace Keane O’connor – Ireland
    75. Grace Roberts Dyrness – United States
    76. Habu Dorcas – Kenya
    77. Ingrid Torrekens – Belgium
    78. Isabelle Haßfurther – Germany
    79. Jacob Horwitz – United States
    80. James Forole Jarso, Hsc – Kenya
    81. Jasjeet Singh Sidhu – Malaysia
    82. Jessica Harding – United Kingdom
    83. Jessica Lasota – United Kingdom
    84. Jessika Eichler – Germany
    85. Jethro Pettit – Italy
    86. Jevgeniy Bluwstein – Switzerland
    87. Jonathan Ole Mashulu – Kenya
    88. Jordana Gomes De Almeida – Brazil
    89. Joseph Moses Oleshangay – Tanzania
    90. Joseph Pusingare Runguna. – Tanzania
    91. José Chaves – Brazil
    92. José Luis Victorio Cervantrs – Mexico
    93. Julio César Solís Zavala – Mexico
    94. Karen Lawrence – United Kingdom
    95. Katie Wightman – United States
    96. Keith Barton, MD – United States
    97. Kepa Fernandez De Larrinoa – Basque Country
    98. Kileto Olepurko – Tanzania
    99. Kim Graybiel – Canada
    100. Kisiaya Saruni – Tanzania
    101. Kizito Joackim Assechekamwati – Tanzania
    102. Kranti L C – India
    103. Lais Nardon Martins – Brazil
    104. Lance Robinson – Canada
    105. Laura Rebolledo Génisson – Spain
    106. Lauren Ramjee – Canada
    107. Learnmore Nyamudzanga – Zimbabwe
    108. Leif John Fosse – Norway
    109. Lekiliara Juma – Kenya
    110. Lenawasae Patrick – Kenya
    111. Lentoimaga A Mamosi – Kenya
    112. Leonor Zalabata – Colombia
    113. Leparan C. Ole Tialal – Kenya
    114. Lewis Pyke – United Kingdom
    115. Lokima Ramazani Yannick – Democratic Republic of Congo
    116. Lucia Helena Andrade Medina – Colombia
    117. Madeleine Sampson – France
    118. Magabilo Masambu – Tanzania
    119. Maison Ole Nkurrunah – Kenya
    120. Malcolm Langford – Norway
    121. Manja Sironga – Tanzania
    122. Marco Mathayo Olekeiya – Tanzania
    123. Maria Gabriela Feitosa Pinheiro – Brazil
    124. Maria Raquel Passos Lima – Brazil
    125. Marie-Sophie VIlleneuve – Canada
    126. Matt York – Ireland
    127. Mbekure Ole Meroro Metemi – Tanzania
    128. Megoliki M Oloije – Tanzania
    129. Michel Dufour – Canada
    130. Mosiany Nkoirishishe – Kenya
    131. Mosses M Lekando – Tanzania
    132. Natana Chaves Rabelo – Brazil
    133. Nathalie Faure – Thailand
    134. Neema Ndemno – Tanzania
    135. Ngeeyan Oloibormunyei Laizer – Tanzania
    136. Ngonina Kirwa – Tanzania
    137. Niyi Asiyanbi – Canada
    138. Norman Biddlecombe – United Kingdom
    139. Noxolo Mboniswa – South Africa
    140. Nsoh Ndam Elvis – Cameroon
    141. Nuria Fernandez Vidal – Spain
    142. Ole Riamit Stanley – Kenya
    143. Oloiteeyo Irmakesen – Tanzania
    144. Onesmo Olengurumwa – Tanzania
    145. Orson Nava – United Kingdom
    146. Panin – Tanzanian
    147. Pilar Font Serrano – Spain
    148. Ponja Edward Tayai – Tanzania
    149. Pricilla Rakotoarisoa – Madagascar
    150. Rande Camana Bayate – Philippines
    151. Rebecca Latchford – United Kingdom
    152. Rebecca Teall – United Kingdom
    153. Regina Weber – United States
    154. Rigan Chakma – Bangladesh
    155. Robert Nowak – Poland
    156. Robie Halip – Philippines
    157. Roger Few – United Kingdom
    158. Rosa Maria Dos Santos Barreiro Chaves – Brazil
    159. Rosy Vilela – Spain
    160. Saitoti Ole Mutaka – Kenya
    161. Saitoti Parmelo – Tanzania
    162. Sali Django – Cameroon
    163. Sam Munck – Sweden
    164. Sara Asadullah – United Kingdom
    165. Sara Mabel Villalba – Paraguay
    166. Sarah Ryder – Switzerland
    167. Sarah Warzecha – United States
    168. Saskia Hesta – Netherlands
    169. Scott S. Robinson – Mexico
    170. Sergio Rene Torres Corrales – Nicaragua
    171. Sethunarayanan – India
    172. Shapiom Noningo Sesen – Peru
    173. Shayo Alakara – Tanzania
    174. Shisei Toma – Japan
    175. Simon Ole Mashati – Tanzania
    176. Sol Gracian Ineira Espinoza – Mexico
    177. Soledad Muniz – United Kingdom
    178. Sophia Pettit – United Kingdom
    179. Steven Sarite – Tanzania
    180. Subeksha Poudel – Nepal
    181. Susanna Nordlund – Sweden
    182. Tara Griffin – United Kingdom
    183. Tejumola A. – Canada
    184. Teo Pasquini – Brazil
    185. Thomas Niederberger – Switzerland
    186. Tiago Moreira – Brazil
    187. Tim Portass – Belgium
    188. Tonje Margrete Winsnes Johansen – Norway
    189. Traute Thiem-hofsommer – Germany
    190. Tricia Jenkins – United Kingdom
    191. Ulrich Bock – Germany
    192. Vedanshi – India
    193. Vilma S. Tuno – Philippines
    194. William K Sipai – Kenya
    195. William Nicholas Gomes – United Kingdom
    196. Zakayo Meng’oru – Tanzania
    197. Чиспияков Алексей Васильевич – Russia

na wengine 32

*kuanzia tarehe 11 Mei 2021
**pamoja na 32 ya mtu binafsi ambaye hajafichuliwa


[1] See International Work Group on Indigenous Affairs. “Tanzania” in Indigenous World 2021, pp. 139-147. https://www.iwgia.org/en/resources/indigenous-world.html
[2] See studies from Convention on Biological Diversity (CBD): https://www.cbd.int/development/doc/cbd-good-practice-guide-pastoralism-booklet-web-en.pdf and from International Union for Conservation of Nature (IUCN): https://www.iucn.org/sites/dev/files/import/downloads/tanzania_contry_study.pdf
[3] https://www.iucn.org/sites/dev/files/import/downloads/tanzania_contry_study.pdf
[4] https://www.iucn.org/sites/dev/files/import/downloads/tanzania_contry_study.pdf

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *